TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kupitia kibali cha Ajira mbadala chenye Kumb. Na.FA.97/228/01/9 cha tarehe 13 Mei, 2022 kilichotolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) anatangaza nafasi ya kazi kwa Wananchi wa Tanzania wenye şifa na ujuzi wa kujaza nafasi zifuatazo: