TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HE
TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI
Kwa
wale wote walioitwa kwenye usaili kwa Kada ya Afisa Manunuzi na Ugavi
II, naomba kuwatangazia kuwa usaili wa Mchujo utafanyika tarehe
25/06/2022 badala ya tarehe 24/06/2022 kama ilivyoonesha awali kwenye
orodha ya majina ya kuitwa kwenye usaili.