TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU), Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Wakala ya Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Ofisi ya Msajili wa Hazina (TRO), Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA), Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM), Wizara ya Afya na Ofisi ya Bunge la Tanzania anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 18 – 27 Juni, 2022 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo