Kila Tarehe 1 December ni Siku ya Ukimwi Duniani.
Takribani watu milioni 39 duniani wanaishi na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU).
Tanzania pekee ina wastani wa Asilimia 5 za watu wanaoishi na maambukizi ya VVU.
Kwa mwaka 2020, takribani vifo vya watu wapatao 32,000 vilitokana na maambukizi ya virusi vya Ukimwi.
“Tunza Afya Yako, Walinde Wengine.”
