utumishi

Nafasi ya kazi :- MWALIMU DARAJA LA III C – (MUSIC PERFOMANCE)(RE-ADVERTISED) – 2 POST

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

MDAs & LGAs

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango

wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya

Wanafunzi;

iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri

nasaha na unasihi;

vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la ‘’Music Perfomance’’ kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

AU Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la ‘’Music Perfomance’’. Pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.

AUWenyeShahadaisiyoyaUalimukatikafaniya‘’MusicPerfomance’’.Waombaji ambaohawanasomolaUALIMUnilazimawawetayarikupatamafunzoyaUALIMU baada ya kuajiriwa.

APPLICATION TIMELINE: 2025-02-10 2025-02-20

.

APPLY NOW

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related