MDAs & LGAs
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango
wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya
Wanafunzi;
iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri
nasaha na unasihi;
vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwamwenyechetichamafunzo ya Stashahada ya Ualimu yenye somo la kufundishia la upakaji rangi na uandikaji maandishi “Painting and sign writing” kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.
AU Wenye Stashahada isiyo ya Ualimu katika fani Somo la Upakaji Rangi na UandikajiMaandishi“PaintingandSignWriting”.Waombajiambaohawanasomola UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa
APPLICATION TIMELINE: 2025-02-10 2025-02-20
.