MDAs & LGAs
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango
wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya
Wanafunzi;
iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri
nasaha na unasihi;
vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwamwenyechetichamafunzo ya StashahadayaUalimuyenyesomolakufundishialaChakulana vinywaji, mauzo na huduma “Foodandbevarage, sales and services”kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.
AUWenyeStashahadaisiyoyaUalimukatikafaniyaHudumayaChakula,vinywaji na mauzo “Food and bevarage, sales and services”. Waombaji ambao hawana somo la UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa
APPLICATION TIMELINE: 2025-02-10 2025-02-20
.