utumishi

Nafasi ya kazi :- MWALIMU DARAJA LA III B – FASIHI YA KIINGEREZA (ENGLISH LITERATURE)(RE-ADVERTISED) – 5 POST

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

MDAs & LGAs

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

     i.       Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

               ii.       Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;

              iii.       Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za  Maendeleo ya Wanafunzi;

              iv.       Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

               v.       Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa  ushauri nasaha na unasihi;

              vi.       Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

             vii.       Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

            viii.       Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la Fasihi ya Kiingereza (English Literature) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulIka na Serikali

APPLICATION TIMELINE: 2025-02-10 2025-02-20

.

APPLY NOW

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related