MDAs & LGAs
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kutunza daftari la fedha la matumizi ya kawaidia na maendeleo;
ii.Kutunza nyaraka za hati za malipo;
iii.Kuingiza mapato na matumizi kwenye vitabu vya fedha;
iv.Kuandika taarifa mbalimbali za fedha zilizopokelewa; na
v.Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Stashahada ya Uhasibu kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali au Cheti cha ATEC II kinachotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA.
APPLICATION TIMELINE: 2024-08-03 2024-08-16
.