MDAs & LGAs
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kukusanya na kuandika habari;
ii.Kupiga picha;
iii.Kuandaa picha za maonyesho;
iv.Kuhifadhi picha na kuhudumia maktaba na marejeo;
v.Kuandaa majarida na mabango (posters);
vi.Kukusanya takwimu mbalimbali; na
vii.Kuandaa majarida na vipeperushi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza au Stashahada ya juu ya Uandishi wa
Habari kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.
APPLICATION TIMELINE: 2024-08-03 2024-08-16
.