Copy-of-Copy-of-Copy-of-Copy-of-Copy-of-Copy-of-Add-a-heading-6

Muonekano Mpya wa Jaden Smith wazua gumzo katika Mitandao ya Kijamii

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Kwa wale wapenzi wa filamu ya  ”The Karate Kid (2010)” basi sura hii sio ngeni kwao huyu ni Jaden smith ni mtoto wa pili wa muigizaji maarufu Will Smith, 

. Muonekano Unaoleta Gumzo mitandaoni

. Muonekano wake wa hapo awali jinsi ulivyokua

Kupitia ukurasa wake wa mtandao ”X” ameweka picha hizi akiambatanisha na ujumbe unaosomeka ”Haters Will Post The One On The Left And Ignore The One On The Right. Like , Damn Can A Man Have His Phases” (wenye chuki wanaweza ku-post huyu aliyekushoto na kumpuuza huyu aliye upande wa kulia, Mwanaume anaweza kuwa mapito yake?)

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related