Public-Service-Recruitment-Secretariat-PSRS-Jobs-in-Tanzania

KATIBU WA AFYA – 1 POST AT TAMISEMI

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram
POSTKATIBU WA AFYA – 1 POST
EMPLOYEROfisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
APPLICATION TIMELINE:2023-10-06 2023-10-19
JOB SUMMARYOK

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kushiriki katika maandalizi ya Mipngo na Bajeti ya Programu ili kuhaikisha Malengo yaliyokusudiwa yanafikiwa;

ii. Kusimamia utengaji wa bajeti kwa fedha za Programu kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli na afua mbalimbali za Programu na kusimamia utekelezaji wa afua hizo;

iii. Kusimamia Rasilimali watu, Magari na Vifaa vya Programu, kwa kushirikiana na Timu ya Usimamizi wa Programu, ili kuhakikisha mafanikio yaliyokusudiwa yanafikiwa;

iv. Kushiriki katika ufuatiliaji na tathmini wa Programu ili kupima ufanisi na maendeleo ya utekelezaji wa shughuli na afua mbalimbali za Programu, kubaini changamoto na kuzipatia ufumbuzi ili programu iendelee kutekelezwa kwa ufanisi uliokusudiwa; 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Mwombaji awe na Shahada ya Uongozi wa Huduma za Afya (Health Services Administration) kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali pamoja na Shahada ya Uzamili ya katika moja ya fani ya Mfumo wa Taarifa za Uendeshaji wa Huduma za Afya (Health System Management) au Ufuatiliaji na Tathmini katika Sekta ya Afya (Health Monitoring and Evaluation) na awe na uzoefu kazini wa angalau miaka mitatu.  Mwombaji aliyefanya kazi kwenye Miradi/Programu, itakuwa sifa ya ziada.

CLICK HERE TO APPLY

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related