Nafasi ya kazi :- Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja LA II (Office Management Secretary Grade II) at Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu November 2026

Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu_325.jpg

Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu invites applications from qualified candidates for the position of Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja LA II (Office Management Secretary Grade II) (4 posts). The vacancy is advertised via the Ajira Portal (Public Service Recruitment Secretariat) and the closing date for applications is 19 November 2026.

Duties and Responsibilities

  1. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
  2. Kupokea wageni na kuwasikiza shida zao na kuwaelekeza wanapoweza kusaidiwa;
  3. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
  4. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
  5. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
  6. .Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
  7. Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
  8. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; naix.Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications and Experience

Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (NTA Level 6) ya Uhazili (Secretarial Studies). Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 (80.w.p.m) kwa dakika moja na kupata mafunzo ya programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Salary Scale

TGS C

How to Apply

Apply online through the Ajira Portal before 19 November 2026: Open this vacancy on the Ajira Portal.

Source: Ajira Portal (PSRS) – official advert

How to Apply for this Job

Ready to apply? Check the requirements above, then apply on the employer’s official website using the button below. Have your CV and any requested documents ready, follow the employer’s instructions, and submit before the closing date.

Application deadline: November 19, 2026
CLICK HERE TO APPLY