Nafasi ya kazi :- MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII UMEME – (DOMESTIC ELECTRICAL INSTALLATION)

UTUMISHI_409.jpg

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
20 Positions

Duties and Responsibilities

  • Kufundisha masomo ya fani ya Umeme katika Vyuo;
  • Kuandaa mitiririko na mpangilio wa masomo;
  • Kusimamia masomo ya vitendo;
  • Kuwapima wanachuo wakati wa mazoezi na kwenye mitihani;
  • Kufanya utafiti wa mahitaji ya mafunzo katika Jamii inayozunguka chuo;
  • Kuandaa muhtasari wa masomo;
  • Kufanya maandalizi ya namna ya kuendesha mafunzo; viii. Kuandaa vielelezo vya kufundishia;
  • Kuendesha mafunzo ya nje ya Chuo (Outreach Programs); na
  • Kutunga, Kusimamia na Kusahihisha mitihani.

Qualifications
  • Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya Umeme kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali

Remuneration
TGS C

Application Period
08/12/2025 - 23/12/2025


APPLY NOW
https://portal.ajira.go.tz/view-advert/qC5XIAplwIq%2BkaWXyQBEpw%3D%3D