Nafasi ya kazi :- MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II - UMEME WA MAGARI (AUTO ELECTRICAL

UTUMISHI_91.jpg

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
15 Positions

Duties and Responsibilities

  • Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
  • Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
  • Kutunza vifaa vya kufundishia; iv. Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
  • Kutoa ushauri wa kitaalam;
  • Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni; vii. Kutunga na kusahihisha mitihani;
  • Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali; zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
  • Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.

Qualifications
  • Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya Umeme wa magari (Auto Electrical) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali

Remuneration
TGS C

Application Period
08/12/2025 - 23/12/2025


APPLY NOW
https://portal.ajira.go.tz/view-advert/nx3SkKxunliWnZCjuamaf17FA%3D%3D