MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II- MAGARI(MOTOR VEHICLE MECHANICS)
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
10 Positions
Duties and Responsibilities
- Kufundisha masomo ya fani ya Magari katika vyuo;
- Kuandaa mitiririko na mpangilio wa masomo;
- Kusimamia masomo ya vitendo;
- Kuwapima wanachuo wakati wa mazoezi na kwenye mitihani;
- Kufanya utafiti wa mahitaji ya mafunzo katika Jamii inayozunguka chuo;
- Kuandaa muhtasari wa masomo;
- Kufanya maandalizi ya namna ya kuendesha mafunzo;
- Kuandaa vielelezo vya kufundishia;
- Kuendesha mafunzo ya nje ya Chuo (Outreach Programs); na
- Kutunga, Kusimamia na Kusahihisha mitihani.
Qualifications
- Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne/sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada katika fani ufundi wa Magari kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
RemunerationTGS CApplication Period08/12/2025 - 23/12/2025APPLY NOW https://portal.ajira.go.tz/view-advert/fKtcBXEt3rAAFyrNyFjuamq2g%3D%3D