MDAs & LGAs
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kuwasiliana na Wizara nyingine ambazo zinafanya biashara, kupata takwimu ambazo zitatumika katika kutathmini mwenendo wa biashara na masuala mengine ya kibiashara;
ii.Kusambaza taarifa za kibiashara kwa wafanyabiashara;
iii.Kutathmini mwenendo wa biashara kwa kuangalia hali ya masoko katika nchi mbalimbali ambazo bidhaa zetu zinauzwa;
iv.Kuandaa grafu na “chart” ambazo zinaonyesha mwenendo wa bidhaa zinazoingizwa nchini na zile ziendazo nje kwa kila nchi ambazo hufanya biashara na Tanzania;
v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake kulingana na sifa na fani yake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya Juu ya Biashara waliojiimarisha katika fani ya Masoko au Uendeshaji Biashara kutoka katika Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
APPLICATION TIMELINE: 2024-08-03 2024-08-16
.