Public-Service-Recruitment-Secretariat-PSRS-Jobs-in-Tanzania

DAKTARI – 1 POST AT TAMISEMI

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram
POSTDAKTARI – 1 POST
EMPLOYEROfisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
APPLICATION TIMELINE:2023-10-06 2023-10-19
JOB SUMMARYOK

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kushiriki katika kusaidia utayarishaji na utekelezaji wa Mikakati, Malengo, na Mipango ya Programu kwa kushirikiana na Timu ya Menejimenti ya Programu; 

ii. Kuratibu lojistiki na ratiba za vikao na matukio mbalimbali ya Programu ikijumuisha masuala ya ukumbi, usafiri na utunzaji wa muda, kwa kushirikiana na Msimamizi wa Programu (Program Administrator) na Afisa Ununuzi wa Programu;

vi. Kusaidia katika kukusanya taarifa mbalimbali za maendeleo ya utekelezaji wa Programu kwenye Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri na Vituo vya kutolea huduma za afya, na kuziwasilisha kwenye timu ya Usimamizi wa Programu, kwa ajili ya matumizi ya ndani na nje ya Taasisi; 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Mwombaji awe na Shahada ya Udaktari wa Binadamu kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. Mwombaji awe amemaliza mafunzo ya Daktari wa Tiba (Doctor of Medicine- MD), mafunzo ya kazi “Internship” ya muda usiopungua mwaka mmoja na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika), pamoja na Shahada ya Uzamili (Masters) ya Afya ya Sayansi ya Jamii (MPH) na awe na uzoefu kazini usiopungua wa miaka 3.  Uzoefu kwenye uratibu wa miradi itakuwa ni sifa ya ziada.

CLICK HERE TO APPLY

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related