TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE
YAH: KUITWA KWENYE USAILI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anapenda kuwatangazia wasailiwa wote walioomba kazi ya DEREVA II NA KATIBU MAHSUS II, kwa Waombaji waliokidhi vigezo, Usaili utafanyika tarehe 11–13/07/2022, Aidha, Usaili huo utaanzia saa 2:00 Asubuhi katika Shule ya Msingi Lunguya iliyopo Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Njombe–MTWANGO.
Wasailiwa Wanaoitwa Kwenye Usaili Wanatakiwa kuzingatia Yafuatayo