Wananchi wote mnatangaziwa kwamba Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) utauza kwa njia ya mnada wa hadhara Magari na Mitambo chakavu yaliyopo katika Karakana za Mikoa ya Mtwara, Shinyanga, Iringa, Pwani katika siku na tarehe zilizoainishwa katika kajedwali hapa chini. Minada yote itafanyika kuanzia saa nne (4.00) asubuhi katika ofisi 2a Wakala wa Ufundi zilizotajwa. Magari na Mitambo vitakayouzwa katika Karakana za TEMESA ni kama yalivyoorodheshwa katika jedwali hapa chini:

