
Nafasi ya kazi ;- AFISA MAENDELEO YA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER II) – 327 POST
MDAs & LGAs DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kuwezesha jamii kushiriki katika kubuni, kupanga, kutekeleza, kusimamia na kutathmini mipango/miradi ya maendeleo; ii. Kutoa na kuwezesha upatikanaji wa mafunzo